Msaada, Dada yangu Anaomba kazi

Msaada, Dada yangu Anaomba kazi

Hawa watoto wa sikuhizi hawajiamini na wanasubiri hisani ya kaka, mjomba, mama, etc ndio wawapiganie katika maisha yao. kama wazazi tunapaswa kuwalea watoto katika misingi ya kujiamini katika utafutaji.
Wakati huo natafuta kazi; kaka yangu alikuwa anapita anakofahamu yeye, baba angu alikuwa anapita anakofahamu yeye, na mimi mwenyewe nilikuwa napita nilikokuwa nafahamu mimi! Huwezi kum-judge huyo binti simply because ni kakake ndie kaweka tangazo hapa na ku-conclude kwamba mwenyewe kapiga usingizi tu huko akitegemea atafutiwe! Job hunting ni ngumu hususani kwa mtu wa kariba yake, na kwahiyo hakuna ubaya wowote kupata support kutoka kwa ndugu kumsaidia kitu ambacho huenda hata mwenyewe anakifanya!

Na haya maisha msidhani kila mtu yupo kama wewe! Umeshamsikia mdau hapo kwamba Binti ameshindwa kumaliza hata certificate kwa kukosa pesa! Tena usikute wala sio certificates zinazohitaji malaki ya pesa! Watu nauli ya kwenda mjini inakuwa issue though siwezi kushangaa watu aina yako wakisema "kwani miguu hana!"
 
Wakuu, habar za majukum
Naomba msaada toka wadau humu, Nina mdogo wangu wa Kike, anatafuta kazi, yoyote tu yeny maslah. Elimu yake labda niseme tu kaishia form4 sabab aliwahi kusoma ngaz ya Certificate ila hakumaliza kutokana ukosefu wa Ada.
Anaujuzi wa stationery sababu alishawah kufanya kazi huko.
Ikipatikana ya dukan pia ni good, direct sales pia sio mbaya.
Anaishi mbagala Zhakiem
Nitashukur kwa msaada wenu
Ramadhan Kariim
Kama hajapata mlete kwangu awe anauza duka la vipodozi.
Mshahara ni TZS 50,000/=
Chakula nitamhudumia mimi.
 
Back
Top Bottom