Msaada, Dada yangu Anaomba kazi

Msaada, Dada yangu Anaomba kazi

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
289
Reaction score
478
Wakuu, habar za majukum
Naomba msaada toka wadau humu, Nina mdogo wangu wa Kike, anatafuta kazi, yoyote tu yeny maslah. Elimu yake labda niseme tu kaishia form4 sabab aliwahi kusoma ngaz ya Certificate ila hakumaliza kutokana ukosefu wa Ada.
Anaujuzi wa stationery sababu alishawah kufanya kazi huko.
Ikipatikana ya dukan pia ni good, direct sales pia sio mbaya.
Anaishi mbagala Zhakiem
Nitashukur kwa msaada wenu
Ramadhan Kariim
 
Kwanini Wewe umuombee na asijiombee Yeye mwenyewe? Hivi kwa mfano ungekuwa haupo duniani ingekuwaje? au angekufuata Kaburini Kwako kisha ukafufuka na Kumuombea Ajira kisha ungerudi zako Kaburini Kuendelea Kufa kama si Kufariki? Mpaka unafikia hatua ya Kumtafutia Kazi tena ya Dukani na Stationery inaonyesha kuwa tayari ameshakomaa na ni Mtu mzima pia hivyo yampasa nae aanze Kujitegemea na Kuhangaika mwenyewe na siyo kwa Kusubiri ' Mbeleko ' ya Kaka.
 
Pumba
 
mnhhhhh...
 
Hawa watoto wa sikuhizi hawajiamini na wanasubiri hisani ya kaka, mjomba, mama, etc ndio wawapiganie katika maisha yao. kama wazazi tunapaswa kuwalea watoto katika misingi ya kujiamini katika utafutaji.
 
Huwa napenda Watu makini kama Wewe katika Kuangalia jambo kwa marefu na mapana yake kisha unalijengea Hoja yenye Mantiki na Tija.
 
Kwanini Wewe umuombee na asijiombee Yeye mwenyewe? Hivi kwa mfano ungekuwa haupo duniani ingekuwaje? au angekufuata Kaburini Kwako kisha ukafufuka na Kumuombea Ajira kisha ungerudi zako Kaburini Kuendelea Kufa kama si Kufariki? Mpaka unafikia hatua ya Kumtafutia Kazi tena ya Dukani na Stationery inaonyesha kuwa tayari ameshakomaa na ni Mtu mzima pia hivyo yampasa nae aanze Kujitegemea na Kuhangaika mwenyewe na siyo kwa Kusubiri ' Mbeleko ' ya Kaka.
Thanx for your challenge, ila kwa mfumo mliotuchagulia wew na awamu yenu ya5, hili haliepukiki kwa njia yoyte ile. Mmetujengea mfumo wa kwmba bila connection unasugua bench miaka yote
Ila asante kwa ushauri wako
 
Ungemwacha mwenyewe aposti ujumbe wake hapa JF ingemsadia kwa upande mwingine hata kutongozwa na kupata sponsor!
Naamini bado atakuwa hana mume,huwezi jua ridhiki yake itapatikana wapi?
 
Jamaa atakuwa anamwombea dem wake. Hapo ukute alikula kwa ahadi kuwa atafutia kazi anajuana na wakubwa wengi.
Sasa kaja Jf......

.........Natania tu lakini.......
 
Unapomwombea mtu kazi unakuwa kama wakala,heshima yako inasaidia pia yule unayemwombea kazi apate kuthaminika kiimani na mwajiri. Mfano hujulikani vizuri sehemu lazima japo mjumbe atokeze kubainisha we we ni nani kisha akupe barua ya utambulisho.
Kitambulisho cha msomi ni vyeti vyake..wajumbe wake wa imani ni wale marefa..
Sasa huyu kaka anafanya jukumu sahihi..mpeni binti kazi.
 
Wakuu, habar za majukum
Naomba msaada toka wadau humu, Nina mdogo wangu wa Kike, anatafuta kazi, yoyote tu yeny maslah. Elimu yake labda niseme tu kaishia form4 sabab aliwahi kusoma ngaz ya Certificate ila hakumaliza kutokana ukosefu wa Ada.
Anaujuzi wa stationery sababu alishawah kufanya kazi huko.
Ikipatikana ya dukan pia ni good, direct sales pia sio mbaya.
Anaishi mbagala Zhakiem
Nitashukur kwa msaada wenu
Ramadhan Kariim
nitumie picha yake pm
 
Kwanini Wewe umuombee na asijiombee Yeye mwenyewe? Hivi kwa mfano ungekuwa haupo duniani ingekuwaje? au angekufuata Kaburini Kwako kisha ukafufuka na Kumuombea Ajira kisha ungerudi zako Kaburini Kuendelea Kufa kama si Kufariki? Mpaka unafikia hatua ya Kumtafutia Kazi tena ya Dukani na Stationery inaonyesha kuwa tayari ameshakomaa na ni Mtu mzima pia hivyo yampasa nae aanze Kujitegemea na Kuhangaika mwenyewe na siyo kwa Kusubiri ' Mbeleko ' ya Kaka.
Hazikutoshi wewe sio bure
 
Jamaa atakuwa anamwombea dem wake. Hapo ukute alikula kwa ahadi kuwa atafutia kazi anajuana na wakubwa wengi.
Sasa kaja Jf......
.........Natania tu lakini.......
Duh watu mna assumptions za hatar
 
Jamaa atakuwa anamwombea dem wake. Hapo ukute alikula kwa ahadi kuwa atafutia kazi anajuana na wakubwa wengi.
Sasa kaja Jf......

.........Natania tu lakini.......
Duh!
Watu hamuachi masihara
 
Back
Top Bottom