Wakuu naomba kwa wanaofahamu vizuri uzuri wa hii course mtaani kwa soko la ajira au kujiajiri.
Na je kati ya hiyo Pharmaceutical na Medical Laboratory ipi ina solo zuri kuajiriwa au kujiajiri.
Asante

thread nying za Ku compare zilishawekwa kama hiyi ila nenda pharmacy nzur pesa ipo utaajiriwa na kujiajir at the same time haswa ukiwa na bachelor...ila kikubwa kukomaa