Msaada course ya cartography

Sospetergideon

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
300
Reaction score
16
Vipi hii kozi itolewayo arita tabora na institute of ardhi morogoro ulipaji wake wandugu mwenye uelewa na hili.
 
Yah..ya ukweli vibaya..ukimaliza njoo ardhi upige geoinformatics..we kamua2
 
Poa ila geoinformatics ina husiana na cartography?
Ofcoz..geoinformatics inahusiana na gis na remote sensing sana na huweI kuwa expert wa gis kama hujui cartography..cartographer pia lazima ajue gis..so geoinfo ndio uwanja wake huo gis,cartography na remote sensing..na ajira zake zipo nyingi sana..macartographer wanatakiwa sana wizara ya ardhi na kampun binafsi zinazohusiana na mambo ya land..
 

Mkuu ahsante sana kwa ufafanuzi wako mzuri tupo pamoja pia kama una mengine ya ziada usisite kunijuza, Ahsante sana.
 
Mkuu mleta mada hiyo kozi ni nzuri sana.Nikumbushe kuna kitabu nitakutumia online ni kizuri sana, mimi mwenyewe nakamua hiyo kozi sehemu.
 

Umetaja Remote sensing nkaona nichangie nina shida.
Kwa Tz chuo gani wanafunza R.S kwa masters n PhD?
Nina shida ya picha za AVRR, ASTER au MODIS za pangani coast 2000-2010 please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…