Kama heading inavyojieleza hapo juu. Nina Lumia 535 dual SIM ina windows 8.1 na iko vizuri sana tu. Tangu niinunue na kufanya first configuration Cortana imekuwa ikifanya kazi vizuri tu kama vile kuhandle calls during quiet hours, kusoma text na kiujumla matumizi meengi ya hii simu nayafanya through Cortana bila shida.
Sasa tugeukie upande wa pili.
Nimeletewa Lumia 830 kutoka Netherlands. Iko vizuri sana kwa kila kitu kuizidi 535 ila sasa yanisononesha Cortana haitaki ku-operate inaniambia "Sorry I cannot help you because of the language you've chosen and region".
Nakumbuka kuna mtu humu ndani alikuja na uzi kuwa kuna namna alifanya akaicheat kwa set up za Nchi fulani (language & region setting) but sijaweza kuiona thread yake.
Ndugu mi sikushauri kuweka region ya usa wala lugha kiingeleza ya usa maana hautaendana na matamshi ya kiamerika na ukiiambia hamtaelewana nayo cortana.ukitaka cortana yako ifanye kazi weka English ya British hadi region yako then itaji restart arafu rudisha feedback.
Cortana inapatikana kwenye os za win10, ni kama system inayo control pc au simu yako unaiuliza kitu inakusahidia ku search ichokitu kwa kuongea au kwa kuandika.. na inaongea so usiogope ni mambo ya microsoft tu hayo