Nenda pale Maisha Club nina uhakika ndani ya wiki moja utakutana naye, au pita kila wikend jioni kuanzia saa moja usiku pale moroco hotel (kitua kati ya magomeni mapipa na mkwajuni) kuna duka maarufu sana la mkorogo... hapo pia utampata au utapata dirrection nzuri ya kumpata.