Amka mapema kwenye saa tisa au saa kumi uwe umefika
Kama wewe si mtaalamu wa maswala hayo ya machinjioni unaweza ukasoma mazingira ukamtafuta rafiki ukazoeana naye kwa muda mfupi, ili akupe mbinu ili usiibiwe maana unaweza ukauziwa nyama kg100 ukapewa kg80 hata huyo rafiki utakaye mpata naye uwe naye makini
Usisahau kusali au kuswali ili mambo yaende kama unavyotarajia
Maana machinjion inahitaji umakini sana ili wasikuibie