Impeccable Creature
Member
- May 28, 2018
- 7
- 6
Wakuu naomba msada PC yangu aina ya HP elitebook inastack sana, nikiitumia ndani ya muda mfupi inastack kwa muda then inarudi kawaida baada ya dakika kadhaa inastack tena, kitendo hicho kinaendelea hivohivo.
Nimejaribu kupunguza baadhi ya vitu lakini bado sioni mabadiliko, nimejaribu kuapdate baadhi ya apps lakini bado sijaona mabadiliko yoyoye, nimescan pc nzima lakini bado.
Kwa yeyote mwenye utaalam unaoweza kunisaidia naomba ajitokeze.
Natanguliza shukrani.