goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,342
kabla ya kubadili window ilikuwa inatoa sauti?
ni shida ya drivers za sauti tu, mi si mtaalamu wa computer but wajuzi wameishakuelekeza hapo, ila kama na we ni mwenzangu na mimi basi jaribu hii njia:yap! ilikuwa na sauti mkuu
Hapo ni driver tu ya sauti mkuu. Na ili kujiridhisha unaeza ukaenda sehemu ya kusearch na ukatype device manager, ikija hiyo ukicheki kwenye driver za sauti utaona kama kipembe 3 cha njano hivi, ikimaanisha hiyo driver inamiss. So cha kufanya unaeza ukatafuta software moja inaitwa driver pack solution, ni package yenye driver mbalimbali. Ukirun hiyo itaweka hiyo driver ya sauti pamoja na nyingine ambazo zinaweza kua zinamiss baada ya kubadilisha window, most likely driver za network. Au unaeza cheki hiyo specific driver online, but i recommend utumie hiyo driver pack solution
Hapo tafuta CD yake ya drivers uinstal sauti kama huna CD take download tu kwenye net
Me nliyonayo hapa ina gb km 7 hvi, na ina drivers zote muhimu. Sijajua hiyo uliyojaribu kuicheki ni ipiasante kwa ushauri mkuu, ila ningenda kuuliza tena kwamba kwenye hizo driver pack solution ipi ni best maana nimejaribu kuzisachi kwa softonic lakini zote nilizodownload nikizirun hazikubali mkuu
Me nliyonayo hapa ina gb km 7 hvi, na ina drivers zote muhimu. Sijajua hiyo uliyojaribu kuicheki ni ipi
Sio rahisi kama unavyofkiria mkuu. But mbona net inapatikana, cheki latest version and jaribu pia kupitia pitia reviews za watu before you download it. Ukipata kuanzia ya 2014 sio mbaya. Ukishindwa kabisa kupata inayokubali kama upo dar ncheki ntakuwekea tu kiroho safikwani mkuu hakuna uwezekano wa kuextract na kunitumia inayohitajika