Msaada community loans

Msaada community loans

mikogo

Senior Member
Joined
Jul 24, 2011
Posts
175
Reaction score
42
wanajamvi ninawaomba msaada nimeingiwa na hofu kubwa ya labda kuwa nimetapeliwa na taasisi ya Community loans ama kuna matapeli wanaofanya kazi sambamba na taasisi hiyo.

Nimejaza fomu za kuomba mkopo katika mtandao na kutimiza masharti yote waliyoyataka ili kunipatia mkopo wa shs 500,000.00.

Pamoja na kwamba maelekezo katika fomu yao hayatoshelezi lakini nililipa kiingilio cha mkopo wa laki tano kwa kulipa shs 50,000/= na baadaye kulipa shs 55,000/ kama Vat ya mkopo kama nilivyo elekezwa nao.

Nimelipa kupitia TIGO PESA No 0653 918712(COMMUNITY LOANS) tarehe 18.6.2014 saa10 dk 03
malipo ya 50,000.00
Na siku ya pili Nikawalipa shs 55,000.00 kwenye namba hiyohiyo.

Nikawasiliana na ofisa wao mwenye namba 0756 219 222 ambaye amejitambulisha jina la Careen kama nitakuwa nimetamka sahihi. ( ni mwana mama)

Baada ya kufanya taratibu zotenamba hiyo imegoma kupokea simu zango na ahadi ya kupatiwa mkopo imeishia hapo.

Ninawaomba wanajamvi mnipatie msaada kwa mwenye utambuzi wa taasisi hiyo ili niweze kupata haki yangu.
 
pole sana ndugu yangu hapo kwa lugha nyepesi ni kuwa tayari umeishaibiwa,kifupi ni kuwa hao "community loans" ni matapeli ww uliona wapi mtu unakopeshwa bila kuweka dhamana ya kitu chochote.Pole sana lakini kumbuka "mjini shule".
 
Je hawa ndio walewale walioongezewa mtaji na Mh Lowasa.?
 
Ni ukweli mtupu. Mini shule. Nimekusoma.
 
Je hawa ndio walewale walioongezewa mtaji na Mh Lowasa.?

Kupata mkopo kwenye taasisi za kifedha sio rahisi kama uluvyoona kwenye hizo wapi.saccos,hao ni wezi wa kitambo sana nashangaa bado kuna watu wanaibiwa na hao matapeli....Wengi wana hack account za Watu wanaojulikana then wanapost hizo habari ili kuuaminisha umma kwamba hiyo habari ni kweli,hakuna fedha za lowassa,zitto wala halima mdee.
 
Back
Top Bottom