Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,196 Reaction score 11,623 Feb 10, 2011 #1 Wandugu habari za majukumu, Nina software ya Flexi 8.1v nahitaji kuistall kwenye pc yangu lakini sina keys zake Naombeni msaada Natanguliza shukurani zangu
Wandugu habari za majukumu, Nina software ya Flexi 8.1v nahitaji kuistall kwenye pc yangu lakini sina keys zake Naombeni msaada Natanguliza shukurani zangu