Msaada:CM inagoma ku download application toka playstore

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,043
Reaction score
1,276
Wakuu! nina samsung s4 galaxy,by now haidownload applications toka playstore,but siku za mwanzo ilikua very fast lakini kwa sasa ni tatizo,so inaniwia vigumu ku apdate application yeyote au kuidownload kama nimeipenda,I though it was network problems,lakini network iko speed sana coz naweza kudownlod hata movie just for a short time,tatizo ni upande wa applications za playstore,msaada please kwa anaejua au aliewahi kumbana na dhahama kama hii!
 
Tengeneza upya apn. Unatumia setting za wap ambazo hazipo compatible na app za kisasa kama playstore
 

Credit: #chief-mkwawa
 
Tengeneza upya apn. Unatumia setting za wap ambazo hazipo compatible na app za kisasa kama playstore

Mkuu umenipa somo maridhawa. Nimefanya kama ulivoelekeza, speed ya net imekuwa fast sijapata kuona.

Barikiwa sana Mangi wa Wanyalu
 
Hizo setting ni kwenye samsung 2 au hata kwenye haka ka huawei kangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…