nashukuru mkuu kwa hyo ngazi ya diploma hawanaUDOM wanatoa International relation and diplomacy kuanda degree had masters pia
shukran sana mr nassib kwa muongozo wakoKwa ngazi ya diploma labda usome diploma in public adminstration and management ambayo kozi ya Ir utasoma mwaka wa pili wa diploma na baada ya hapo degree ndo ukasome hyo Ir yan international relation and diplomacy yenyewe kama yenyewe ila kwa sasa hakjna Ir kwa diploma