Msaada: Chuo cha urubani Tabata Magengeni

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Jamani wadau hapa nilipo nasikiliza wapo radio FM

Kuna jamaa anaelezea kuhusu chuo cha urubani, kinaitwa Tanzania aviation university college kipo Tabata Magengeni.

Wenye taarifa kuhusu hiki chuo au mliosoma hiki chuo, tupeni details kuhusu hiki chuo.
 
Urabani ? Chuo bongo?? U do hope kweli wamejipanga!! Maana its not an easy thing!! Ni gharama kukiendesha!!!
 
Naijua Tabata-magengeni yote,hakuna kitu kama hicho angalieni msije tapeliwa.
 
Tbt magengeni hii nayo ishi mimi au?
Hapana hakuna kitu kama hcho
 
Nimeipitia hiyo link ila hakuna maelezo kuwa ni university college ya University ipi, ngoja wajuzi wa mambo waje kueleza zaidi, ila mmmmhhhh

website hailezi hata location ya chuo.........duh
 
=> Hakuna chuo Tabata cha marubani....huyo Jamaa owner wa chuo ni mhuni tu....HAKIFUNDISHI URUBANI.....namjua sana...alifeli urubani hana hata PPL.....na sasa kaanzisha darasa la kuwafundisha watu mambo ya anga....sio urubani....hana ndege...hana leseni ya urubani...hana simulator....hana elimu ya urubani.....ni tapeli wa kihaya.....

=> So anafundisha mambo ya airlines....general knowledge ya mambo ya anga ... Aviation communication.....so msije tapeliwa...

=> Chuo cha urubani kipo Terminal 1 Dar Airport....na ndio kinapata leseni ya kuwafundisha wanafunzi to commercial pilot level this Nov. 2013.....na owner ni mzungu...Australian. ....kinaitwa Mosswood Aviation
Academy....well equipped school....with Simulator...latest.....3 aircrafts....instructors with tcaa licences with experince....

 
Tbt magengeni hii nayo ishi mimi au?
Hapana hakuna kitu kama hcho
Kipo maeneo hayohayo mkuu. Nikikaaga Swiss Pub nawaona baadhi ya wanafunzi wa chuo hiko
wakipita barabarani. Lakini sijajua quality ya
elimu watoayo.
 

Utaongea saaanaaaaaaaaaaaaa jamaa anakamua! He took his chances while others were still sleeping
 
Marketing strategy hii naona umekuja kututangazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…