Msaada chuo cha NIT

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
803
Wakuu Natumai hamjambo, kuna mdogo wangu kasahau email aliyoingia Kwenye chuo cha NIT msaada kwa anayejua zaidi maana najaribu hata kuwapigia namba hazipatikani kabisa anahitaji kuangalia kachaguliwa faculty gani, Natanguliza shukrani.
Msaada
 

Attachments

  • Screenshot_20190822-115524.png
    Screenshot_20190822-115524.png
    19.8 KB · Views: 38
NIT unalog in kwa kutumia namba ya mtihani ya form 4, sio email...
Yaani sehemu ya "username" unaandika namba yako ya mtihani ya form 4 kwa mtindo huu:
S0213/0125/2020
 
Jaman naombeni kama wana website yao..nataka kufanya application kama ipo naomba plz
 
Na pia naomba kuuliza kuna ndugu yangu baada ya kumaliza kidato cha NNE akaenda veta kusomea coz ya udereva na saiv ana leseni yake anataka kusomea V.I.P course je iyo course ipo...?
 
Back
Top Bottom