Muyahud-Alqaeda
Member
- Mar 11, 2020
- 18
- 11
Nilimpeleka Rabininsia Hospital mwanzo wakasema inaweza kuwa kwenye kutambaa tamba labda amelamba pachafu au kula so anaweza kuwa amepata bacteria nikapewa Antibiotic ndo inaisha leo lakini bado inatoka. Ikabidi nimrudishe leo asubuhi wakampima tumbo liko sawa na sehemu ya haja kubwa kwa nje hajachunika
Leo nikawapelekea choo kikubwa wakasema hakina haja coz kama ana infection dawa niliyokuandikia ingemaliza tatizo
So wakasema labda kesho tumchek Dr wa upasuaji amchunguze yaani nimetetemeka naogopa
Waangalia kama amechunika kwa ndan au vipi
Msaada wenu jamani
Sent from my iPhone using JamiiForums