N Nkana Young46 Member Joined Dec 27, 2022 Posts 11 Reaction score 14 Mar 18, 2023 #1 Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba. Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133
Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba. Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,209 Reaction score 27,967 Mar 18, 2023 #2 Ilala umekosa?
R Rose Of Africa JF-Expert Member Joined Apr 27, 2020 Posts 228 Reaction score 96 Mar 20, 2023 #3 Nkana Young46 said: Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba. Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133 Click to expand... Namba Iwekwe hapa ili kama yupo mwingine anayehitaji aone
Nkana Young46 said: Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba. Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133 Click to expand... Namba Iwekwe hapa ili kama yupo mwingine anayehitaji aone
Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,983 Reaction score 3,670 Mar 20, 2023 #4 Njoo Ilala boma mkuu. Wahi kesho saa12:00 asubuhi uwe pale.
W Wohwoh Member Joined Sep 17, 2021 Posts 85 Reaction score 223 Mar 22, 2023 #5 Nenda ilala boma jumatatu mpaka ijumaa,kama unataka magauni grade one saa nne kamili mnada unaanza,uwahi tu usome mazingira na usiogope kuuliza zaid japo watu wagumu kweli kutoa info.
Nenda ilala boma jumatatu mpaka ijumaa,kama unataka magauni grade one saa nne kamili mnada unaanza,uwahi tu usome mazingira na usiogope kuuliza zaid japo watu wagumu kweli kutoa info.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,495 Reaction score 869,984 Mar 22, 2023 #6 Nkana Young46 said: Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba. Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133 Click to expand... Kitumbini
Nkana Young46 said: Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba. Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133 Click to expand... Kitumbini