Je! ninawezaje kutoa pattern kwenye cm ambayo uki press volume & power button hailet option zile za ku restore? au cm za namna hiyo pattern haziwez kutoka mpaka computer?
si mgeni kaka ila dunia mambo yanaenda yakibadilika inawezekana imepatikana njia,unajua kuna watu wanapiga msuli kinyama na ckufich ipo siku kitaeleweka