Msaada CCIT Pad One tablets

Msaada CCIT Pad One tablets

Cupa

Member
Joined
May 11, 2018
Posts
47
Reaction score
14
Wakuu mimi ni mwanafunzi nategea kuzama chuo, so nahitaji usaidizi wa tablet nzuri hasa kwa ajili masuala ya chuoni.
Kuna tab nimeiona kwenye mtandao wa www.jumia.com ni ccit iOS one , sikuwa na budi ya kuileta hapa ili nipate maoni yenu coz n kubwa (10.1 inch) vile vile bei nimeona ni nafuu.
(NB; PC ninayo)

(Bei 380,000 - 400, 000)

Short descriptions

Display: 10.1
Memory: 32GB HDD, 3GB RAm
Camera: 16MP, 8MP
Processor: Dual Core 1.5GHZ
Operating System:
Connectivity: WiFi,Bluetooth,USB, Dual SIM, FM, GPS, playstore.
Battery: 10,000mAh

Product details

CCIT IOS Pad One LTE 4g Duos SIM 32gb, 10,000mAh
CCIT Pad One
Brand CCIT Original tablet
Storage 32GB RAM 3GB
IOS Version 9.0.2
Camera Dual Camera
Primary Camera Type:16MP
Secondary Camera: 8MP
Screen Size 10.1 Inch
Screen Type IPS HD
SIM Support Dual Sim
Data 4G
Processor Dual Core 1.5GHZ
Connectivity WiFi,Bluetooth,USB, Dual SIM, FM, GPS, playstore, all Apple features,Calls, video,
Hotspot, WhatsApp, Skype, Facebook etc
Battery 10,000mAh long lasting battery capacity
Free Powerbank Inclusive
image image
SKU (simple): KI057EL1N5WP4NAFAMZ
Model: CCIT pad one
Weight (kg): 0.4
Colour: Black, Gold
Display Size (inches): 10.0
Hard Disk (GB): 32
Internal Memory(GB): 3
Memory Size (GB): 32
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    38.6 KB · Views: 62
  • 3.jpg
    3.jpg
    26.3 KB · Views: 72
  • 2.jpg
    2.jpg
    21.1 KB · Views: 68

Kiongozi Cupa we nenda nayo hiyo... Kwenye uwanja huu wa vifaa vya elektronikia kuna haka ka kasumba ka umaarufu (BRAND). kama unaogopa kwa sababu chapa (brand) ni ngeni, basi utakikosa kizuri...
Kwa ufupi; katika uzoefu wangu wa miaka michache ya matumizi na ununuzi wa vifaa vya elektroniki, nilitokwa ushamba kidogo baada ya kuona Tablet ya TECNO, lakini sasa nashuhudia mu wangu mmoja wa karibu anaitumia takriban miaka 3 na nusu bila usumbufu. Jina litakuja kwenye kujihakikishia uzuri wa kitu, lakini si kwamba watengenezaji wapya hawajui kitu...
Muda si mrefu baada ya chapisho lako nilipatwa na kazi ya kutafuta tablet ya kiofisi, nikafikia hapa: ambapo kumeonyesha bidhaa hiyo hiyo uliyoitaja hapo juu tena ikiwa na bei nafuu zaidi (280,000/=)... Nilipotaka kuitazama kwenye tovuti za kutolea usuli (BENCHMARK REVIEW) kama vile ANTUNTU sikufanikiwa isipokuwa nimeiona kwamba ni ngeni sana barani Afrika. HAKUNA MASHAKA. Inapatikana mpya dukani, muuzaji anatoa mdhamana wa hadi mwaka. We iendee.
Kusema kweli kwa hivyo vigezo vyake, mtu huwezi iacha hata kidogo, hasa pesa ikiwa ni yako binafsi...
 
Shukurani mkuu

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mimi ni mwanafunzi nategea kuzama chuo, so nahitaji usaidizi wa tablet nzuri hasa kwa ajili masuala ya chuoni.
Kuna tab nimeiona kwenye mtandao wa www.jumia.com ni ccit iOS one , sikuwa na budi ya kuileta hapa ili nipate maoni yenu coz n kubwa (10.1 inch) vile vile bei nimeona ni nafuu.
(NB; PC ninayo)

(Bei 380,000 - 400, 000)

Short descriptions

Display: 10.1
Memory: 32GB HDD, 3GB RAm
Camera: 16MP, 8MP
Processor: Dual Core 1.5GHZ
Operating System:
Connectivity: WiFi,Bluetooth,USB, Dual SIM, FM, GPS, playstore.
Battery: 10,000mAh

Product details

CCIT IOS Pad One LTE 4g Duos SIM 32gb, 10,000mAh
CCIT Pad One
Brand CCIT Original tablet
Storage 32GB RAM 3GB
IOS Version 9.0.2
Camera Dual Camera
Primary Camera Type:16MP
Secondary Camera: 8MP
Screen Size 10.1 Inch
Screen Type IPS HD
SIM Support Dual Sim
Data 4G
Processor Dual Core 1.5GHZ
Connectivity WiFi,Bluetooth,USB, Dual SIM, FM, GPS, playstore, all Apple features,Calls, video,
Hotspot, WhatsApp, Skype, Facebook etc
Battery 10,000mAh long lasting battery capacity
Free Powerbank Inclusive
image image
SKU (simple): KI057EL1N5WP4NAFAMZ
Model: CCIT pad one
Weight (kg): 0.4
Colour: Black, Gold
Display Size (inches): 10.0
Hard Disk (GB): 32
Internal Memory(GB): 3
Memory Size (GB): 32
Kama upo tayari kuishi na restricition za ios ipad ni choice nzuri, otherwise tafuta galaxy note series ama tablet nzuri yenye kalamu itakayokusaidia kuchukua notes. Kama budget inaruhusu zipo pia tablets za windows.

Hiyo unayonunua ni simu yenye kioo kikubwa.
 
Chief Mkwawa
Bei yake ni kuanzia kilo ngap mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief Mkwawa
Bei yake ni kuanzia kilo ngap mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipad ni ghali kwa mpya sidhani kama unapata chini ya laki 6 tena hio ni ipad mini series kwa hizi ipad air na pro series zinazidi hapo karibia na milioni zinafika kwa entry device.

Kwa Tablets za Samsung A series ni Affordable na zinakubali kalamu.

Yapo pia makampuni mengine kama Amazon na Lenovo wao wana tablets za bei rahisi zaidi hadi around laki 1. Ila ni vyema kununua yenye kalamu.
 
Kwahiyo mkuu hizo zenye kalamu zinapga Kazi kama tablets nyingine za kawaida?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Ipad ni ghali kwa mpya sidhani kama unapata chini ya laki 6 tena hio ni ipad mini series kwa hizi ipad air na pro series zinazidi hapo karibia na milioni zinafika kwa entry device.

Kwa Tablets za Samsung A series ni Affordable na zinakubali kalamu.

Yapo pia makampuni mengine kama Amazon na Lenovo wao wana tablets za bei rahisi zaidi hadi around laki 1. Ila ni vyema kununua yenye kalamu.
Mkuu Chief-Mkwawa hivi ni model ipi ya Amazon Tablet ambayo inafaa kwa matumizi ya mazingira yetu bongo? Msaada pls.
 
Kwahiyo mkuu hizo zenye kalamu zinapga Kazi kama tablets nyingine za kawaida?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Ni tablet kama tablet nyengine mkuu ila zina kalamu ambayo ni muhimu sana darasani kwa ajili ya kuchukulia notsi, zinakuwa zinadetect muandiko, unachoandika inakieka vizuri au ukitaka unaeka free mode kuchukua vitu kama michoro.

Pia tablets za kampuni kubwa user interface inakuwa optimized kwa ajili ya tablets utafanya multitasking vizuri na kuenjoy baadhi ya features ambazo simu haina.
 
Mkuu Chief-Mkwawa hivi ni model ipi ya Amazon Tablet ambayo inafaa kwa matumizi ya mazingira yetu bongo? Msaada pls.
Tablet za amazon ni kama Android tablets nyengine sema hazina playstore, ukitaka kueka baadhi ya apps inabidi u sideload mwenyewe. Model zote zinafaa kutokana na matumizi ila kuanzia fire HD 8 ndio unapata perfomance ya kufanya mambo mengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom