Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 519
- 874
Najua nikifika hapo kila nitakayemuuliza atajibu kwa kuvutia kwake, but Ahsante mkuuNenda stend kuu ya Arusha utaelekezwa vizuri.
Humtakii mwenzio mema kabisaHood yatosha mzee baba kama unakuja tukuyu/kyela shuka uyole lamba costa chap saa7 usiku ushafika ipinda
Holiday inn sio sehemu ya kula maisha mtu aliye na akili timamu. Hamna watoto pale, wanawake wamechok mbaya.Mmmh safari ndefu hii....
Fanya hivi...
Panda Arusha - Iringa na KIMOTCO.
Hapo Iringa kula bata na watoto wa MIAMI, HOLIDAY INN na kwengine.
Choma nyama ya mdudu kwenye vibanda vya CCM.
Halafu kesho yake subiri gari za Dodoma - Mbeya (Ngasere, Shabiby, Kimbinyiko) halafu malizia safari..!!!
#YNWA
Natumain mpo salama.
Nina safari ya Mbeya kutokea Arusha, bahat mbaya sina uzoefu wa mabasi ya route hiyo, naomba kusaidiwa kufahama bus zuri ambalo lina service nzuri, luxury na lenye speed nzuri.
Natanguliza shukrani