J jimmy boaz New Member Joined Jun 12, 2013 Posts 1 Reaction score 1 Jul 5, 2018 #1 Habari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod
Habari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,777 Reaction score 126,724 Jul 5, 2018 #2 jimmy boaz said: Habari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod Click to expand... Weka screenshots hapa tuone
jimmy boaz said: Habari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod Click to expand... Weka screenshots hapa tuone
Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 855 Jul 5, 2018 #3 jimmy boaz said: Habari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod Click to expand... Hakuna hiyo option mwaka huu, hivyo Unatuma kwa posta
jimmy boaz said: Habari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod Click to expand... Hakuna hiyo option mwaka huu, hivyo Unatuma kwa posta
remedy50 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 675 Reaction score 289 Jul 5, 2018 #4 Suip said: Hakuna hiyo option mwaka huu, hivyo Unatuma kwa posta Click to expand... Hiyo option ipo.
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,010 Jul 5, 2018 #5 mkuu hivyo vyeti vinazibitishwa baada ya kuprint au naweza kwenda thibitisha vyeti tu pekee?
Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 855 Jul 5, 2018 #6 Kama ipo weka hiyo screenshot maanake kilichopo ni kuupload pg2 na 5 yai fomu