Simu imetoka nje ya nchi (china ) , shida ni ukipiga namba ya tigo ya tanzania , inaanza na code. +81,na hivyo simu inasindwa kutoka. Na ni namba ya voda tigo 2. Ukipiga kwngine haina shida. Naomba utatuzi.
Hii simu bwana we acha tu mm inanitoa jasho sana nkimenunua kusudi nichukue maujiko kitaa nikajua nitafaidi nikiwa na MB 170 za wiki za Airtel aaaaaahhhhhh nilichanganyikiwa nilipoambiwa ina kifurushi chake we acha tum
Nipo najiungaga nikipata buku ila lazima niambiwa nitoe betry then niweke tena yaaani tabu tupu.Laiti ningejua nisingenunua

Mkuu kwa bundle za blackberry ukijiunga nazo halafu ukawa upo mahali penye 3G au 3.75G ya airtel,utainjoi sana,sababu ni unlimited..yaan kwa hiyo buku utadownload hata movie 3 za mb 700 each,kitu ambayo huwez kufanya kwa bundle nyingine..BB kwa mjini inasaidia sana kama mtu kweli ni mtumiaji mkubwa wa intaneti