Ingia kwenye option(setting)>device>Advance System Settings>TCP IP>
Then enable APN(Access Point Name)
APN andika internet
Then save and close
so ili kuactivate ianze kutumia bando la kawaida itabidi ujiunge kifure cha blackberry,then kiisha baada ya hapo utaweza kutumia bando la
kawaida.Mm natumia bb curve 9320 na now natumia bando la kawaida,na km ukikwama ni PM