Msaada : Black screen (dead screen) kwenye pc ya acer aspire R 3 series

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
44,011
Reaction score
150,548
Wakuu sorry hii pc mwanzoni ilikuwa na window 10 ila baada ya kuchange na kuinstall windows 8.1 imeleta hili tatizo make inawaka lakini inashindwa kumalizia kuload finally screen inabaki kuwa black tu japo power ikiwa on...naomba msaada nawezaje kulitatua
1521794596832.jpg
1521794628441.jpg
 
Yeah, sure mdau hata yangu ni Acer aspire pia inaniletea nyoka nyoka za style hiyo hiyo.
Be blessed kwa kuanzisha uzi, nina uhakika wataalamu watakuja kutudadavulia hapa jukwaani.
Be blessed.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wakuu sorry hii pc mwanzoni ilikuwa na window 10 ila baada ya kuchange na kuinstall windows 8.1 imeleta hili tatizo make inawaka lakini inashindwa kumalizia kuload finally screen inabaki kuwa black tu japo power ikiwa on...naomba msaada nawezaje kulitatua View attachment 723029View attachment 723031
Yeah, sure mdau hata yangu ni Acer aspire pia inaniletea nyoka nyoka za style hiyo hiyo.
Be blessed kwa kuanzisha uzi, nina uhakika wataalamu watakuja kutudadavulia hapa jukwaani.
Be blessed.
Tafuta Bootable DVD au USB flash yenye Windows na uinstall tena kushauri jaribuni ku install windows 10
-hapo screen sio mbovu but operating system ndio inashida
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Tafuta Bootable DVD au USB flash yenye Windows na uinstall tena kushauri jaribuni ku install windows 10
-hapo screen sio mbovu but operating system ndio inashida
Sorry mkuu ...unamanisha hii window 8 .1 niliyoweka sio compatible na hii pc ?? Nilichange windows simply naipenda windows 8 kuliko 10 ...

Shukrani
 
Tafuta Bootable DVD au USB flash yenye Windows na uinstall tena kushauri jaribuni ku install windows 10
-hapo screen sio mbovu but operating system ndio inashida
Thanks mkuu kwa msaada, nitajaribu kufanya hivyo ulivyoshauri.
Be blessed.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Tafuta Bootable DVD au USB flash yenye Windows na uinstall tena kushauri jaribuni ku install windows 10
-hapo screen sio mbovu but operating system ndio inashida
Mkuu shukrani nimerudisha windows 10 sina jinsi
 
Back
Top Bottom