Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,265
- 1,092
Windows yangu ni genuine na ndio mana walinitumia notification ya availability ya update. Maana yake hapo shida ni hiyo blank black screen tu.Yawezekana window yako ya awali ilikuwa sio yalisi. Yaani Genuene na wakati unafanya upadate microsoft wameidaka. Jaribu ku restart hiyo pc. Unaweza bonyeza art+crtl+delete kwa pamoja then utapata option ya kurestart. Kama bado itasumbua tafuta window ingine kwasababu hawajamaa wakisha kamata huwezi ku crack tena window
sidhani kama kuna kitu inakosa maana ina space ya kama 80GB kwenye drive C, RAM yake ni 2GB processor ni AMD vision. Pia nikitumia CTRL+ALT+DEL inaniletea options kama za kurestart, easy of access, restart, switch user na switch off. yaani ni full options zinakuja. kasoro ni hiyo moja tu. hata nikifungua task manager inaleta processes zote na naweza kuzi-end as I wishKama ume update kutokana na Windows waliyokupa Notification Microsoft wenyewe bado ni genuine... Inaweza PC ikawa inakosa kitu kimoja au viwili kwenye 'minimum requirement' ya kuweka Windows 10. Kuokoa jahazi tafuta tu boot loader ya windows 7 urudi ulipotoka uwe salama halafu ndo utaangalia utaratibu upya wa kuweka windows 10. Sio kila PC inaweza ikakubali windows 10 vyema.
Kama ilikuwa genuine. Basi litakuwa tatizo lingine. Ila mie nawasiwasi sana na hapo. Jf wako ma expart weng pengine wao washa wahi kukutana na kitu ya hivoWindows yangu ni genuine na ndio mana walinitumia notification ya availability ya update. Maana yake hapo shida ni hiyo blank black screen tu.
Nimefanya kama ulivyonielekeza ila imekataa mkuuPole mkuu... Fanya hivi ukiita taskmanager > opt kufungua new task kisha andika neno "explorer" halafu gonga enter
Sasa hapo unabofya ikiwa katika mode gani???BOFYA FN + F5 KWA PAMOJA
ALAFU ONA ITAKUWAJE.
WASHA LAPTOP YAKO.Sasa hapo unabofya ikiwa katika mode gani???
WASHA LAPTOP YAKO.
BOFYA Fn na F5 kwa pamoja.yangu pia nilipo update kuja windows 10 nilipata shida hiyo.kuna options 3 .ila rahisi ni hiyo
Njia ipi iliyokufanikisha mkuu ,?Ahsanteni sana wadau wote kwa michango yenu maana hatimae nimeweza
View attachment 317676