Fanya mpango wa passport uwe unafata mwenyewe Mombasa, kule unaweza kukuta kijora Quality kinauzwa mpaka Tsh 4000 kwa bei ya jumla, halafu ukija huku unauza kwa Tsh 11000 keshi na 14000 mkopo kwa wiki vinalipa sana kama una wateja na mtaji mzuri, kwani unaweza kuchukua mzigo ukasambaza na kuchukua advance kwa wateja halafu ukafata mzigo mwengine