asante...kwa kuanzia vinaweza kuwa vichacheUkienda usiweke usiku,siku mbili uwe umegeuza,ila vitu vdogo kama nn ili tukupe njia za kusafirisha,kama vitu vinabebeka kwa beg unaweza kuja navyo kwa ndege na uhakikishe unalipa ushuru pale airport,na pia kama ndio mara ya kwanza kwenda make surw unakua na mtu muelewa wa mji kule na maduka awe anajua vizur,good luck. First to reply
Habarini..
naomba mwenye uelewa na hii biashara anipe mwanga...
natarajia ni
Bila mtu atapotea au inakuwaje maana sioni uhitaji wa mwenyeji kama unajua kusoma na kuandika kiingerezaUkienda usiweke usiku,siku mbili uwe umegeuza,ila vitu vdogo kama nn ili tukupe njia za kusafirisha,kama vitu vinabebeka kwa beg unaweza kuja navyo kwa ndege na uhakikishe unalipa ushuru pale airport,na pia kama ndio mara ya kwanza kwenda make surw unakua na mtu muelewa wa mji kule na maduka awe anajua vizur,good luck. First to reply
Kichwani kwako umeweka kingereza ndio kila kitu. Unadhani kujua kingereza ndio umeshamaliza au kufanikiwa kwa chochoteBila mtu atapotea au inakuwaje maana sioni uhitaji wa mwenyeji kama unajua kusoma na kuandika kiingereza
Dubai sio mji wa kupotea watu wanaongea Kiingereza maelezo yote yameandikwa Kiingereza sasa mwenyeji wa nini? Ukiwa Shangai si ndio utataka msafara kabisaKichwani kwako umeweka kingereza ndio kila kitu. Unadhani kujua kingereza ndio umeshamaliza au kufanikiwa kwa chochote
Unapafahamu dubai? Na kama unapafahamu basi msaidie mleta hoja na sio theory. Watu wanapotea au wanahitaji mwenyeji tandika. au kariakoo Itakuwa dubaiDubai sio mji wa kupotea watu wanaongea Kiingereza maelezo yote yameandikwa Kiingereza sasa mwenyeji wa nini? Ukiwa Shangai si ndio utataka msafara kabisa
Wenyeji ndio wapigaji shuka Airport kamata Metro nenda hotelini kamata metro nenda shoping kamata busUnapafahamu dubai? Na kama unapafahamu basi msaidie mleta hoja na sio theory. Watu wanapotea au wanahitaji mwenyeji tandika. au kariakoo Itakuwa dubai
Metro ni nini?Wenyeji ndio wapigaji shuka Airport kamata Metro nenda hotelini kamata metro nenda shoping kamata bus
Tatizo wote mnataka watu wapande Tax na kuwa na guide kama wote ni matajiri
Mtu mara ya kwanza kuja dar kutoka kwenu huko Sikumbala anataka kununua mzigo wa maana kkoo na anachemka na wote tunaongea kiswahil,ndio mgen nchi ya watu? Kuna watu kibao kila siku wanasafiri anaweza unga nao tela mara mbili anakua na kauzoef kdogo,sio kukurupuka tuWenyeji ndio wapigaji shuka Airport kamata Metro nenda hotelini kamata metro nenda shoping kamata bus
Tatizo wote mnataka watu wapande Tax na kuwa na guide kama wote ni matajiri
Kuna vitu muhimu vya kuvijua kabla hajaondoka .....Habarini..
naomba mwenye uelewa na hii biashara anipe mwanga...
natarajia kuanza biashara ya kuchukua vitu vidogovidogo Dubai na kuleta nchini..
je,
-Gharama ya usafiri ipoje?(mtu binafsi)
-Gharama na namna nzuri ya kusafirisha bidhaa tokea kule.
-Malazi,na makazi mazuri na salama wakati nipo kule nikiandaa mzigo wangu
-mengineyo
Asante.