mtimkav JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 1,034 Reaction score 662 Mar 5, 2017 #1 Habari wakuu, Nahitaji kujua ni wapi naweza kupata wanunuzi wa hizo mbegu tajwa hapo kutokana na umuhimu wake kwani imekuwa ikitumiwa kutengeneza bidhaa nyingi ikiwemo oil za magari, dawa, perfume na mambo mengine. Msaada tafadhali wakuu
Habari wakuu, Nahitaji kujua ni wapi naweza kupata wanunuzi wa hizo mbegu tajwa hapo kutokana na umuhimu wake kwani imekuwa ikitumiwa kutengeneza bidhaa nyingi ikiwemo oil za magari, dawa, perfume na mambo mengine. Msaada tafadhali wakuu