mshamu JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 418 Reaction score 134 Jun 26, 2017 #1 Wadau naomba msaada kwa dar wapi nitapata betri nzuri kwa Samsung note 4 niliyonayo haicharge tena yani unakuta ipo full lakini ukiwasha haiwaki kabisa. Nikijua na bei itakuwa vizuri sana.
Wadau naomba msaada kwa dar wapi nitapata betri nzuri kwa Samsung note 4 niliyonayo haicharge tena yani unakuta ipo full lakini ukiwasha haiwaki kabisa. Nikijua na bei itakuwa vizuri sana.
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Jun 27, 2017 #2 andaa 30000 utapata betri nzuri