[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Asante sana kiongozi. Tatizo ni kwamba sina utaalamu wa kutambua original (au angalau yenye nafuu) na feki. Kuna siku nimeingia K/koo nikaibuka na kituko. Ndio maana nikaomba kwa wataalamu wa humu ili nipate muongozo.