Calvin power anayo iko jf store ila nahisi inacost hela vinginevyo lazima utumie njia za akina e2themiza,gkiwango,wickerman and kimox kimokole ambazo kila modem ina njia yake...hizi njia nilizotaja ni za customised firmware pekee lkn zile za kuweka line ikaimba NCK hizo ni mdebwedo unaingia
A-ZGSM.COM - FREE UNLOCK CODE ONLINE una calculate online
Zantel haina manufaa kui unlock kwa hapa bongo sababu ni CDMA technology hivo haiwez fanya jaz na MAJIR NETWORKS za hapa bongo