Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
Salaam jf.
Kama header inavyojinadi. Nilitaka kujua bei ya Wireless Camera a.k.a ip cam kwa hapa tz ikiwemo na installation au bila install. Je! Naweza tumia smartphone kama ip camera.?
Duh! kumbe bei yake ni rahisi hivyo, mi nilidhan ni big deal, oke! wapi naweza zipata? je zinatumia battery au?View attachment 360364
ambazo nazifahamu ni hizi smart IP camera brand ya v380 ambayo kwa moja bei ni 205,000/-
inaweza kufanya kazi yenyewe kwa kutumia sd card yake au unaweza kutumia na computer kama dvr na pia unaweza kutumia kwenye smartphone ya android.
unaweza pia kuiunganisha kwenye router ( camera zaidi ya moja) na kuzimonitor kwa kutumia computer au mobile
inatumia chaja ya 5V 1A. basically ni chaja kama ya smartphone hata kwa USB port ya computer inafanya kazi.Duh! kumbe bei yake ni rahisi hivyo, mi nilidhan ni big deal, oke! wapi naweza zipata? je zinatumia battery au?
Nipo mtwara lakini kwa dar naweza kusafiri.inatumia chaja ya 5V 1A. basically ni chaja kama ya smartphone hata kwa USB port ya computer inafanya kazi.
una uwezo wa kuizungusha remotelly kwa kutumia simu yako au computer na inazunguka 360 degrees pia inarekodi sauti na ina option ya normal video na HD video. wachina ni noma.
kama upo Arusha unaweza kuzipata kirahisi kuna jamaa anazo brand.new
hapo unatakiwa uwe na backup yako kama cctv camera zingine za kawaidaJe umeme ukikatika haifanyi kazi?
Tuna ipataje
Mimi na itaka muda huu ninamtu arusha pale aninunulie
Hivi ip camera ina generate vipi Ip au mpaka nitafute router ndio niweze kuimonitor through internet?
umenijibu vyema mkuu asanteIP camera ni WI-FI/LAN(Network) camera kwa ufupi. By Default inakuwa default IP address ambayo imeandikwa katika sticker au katika maelezo ya camera husika.
kuna IP camera ambazo hazihitaji DVR, bali zinahitaji computer au Smartphone kufanya kazi ( Ni lazima uwe na App yake ili kuitumia kwenye computer au smartphone, Maelezo ya namna ya kuipata APP hiyo yapo kwenye maelezo yake)
camera hizi zisizohitaji DVR Pia zina uweza wa kuunganishwa na Router na endapo utaziunganisha na Router, zinapokea IP address kutoka kwenye router (DHCP) automatically, hivyo unaweza kuunganisha camera zaidi ya moja kwenye router moja na camera zote ukaziona kwenye computer au smartphone Application . N akila camera itatambulika kwa ID yake ambayo ni MAC ADDRESS.
nadhani nimekujibu.