BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Tumeshaenda amana...mkoani alienda...pia tumejaribu hospital flan private ila bado..Ukishaenda hospitali? Au ndo umeanzia hapa kaka?
Tumeshampeleka mkuu...!!hali badoMpeleke hospitali ...
Acha kumlinganisha na watu wengine Hilo la Kwanza.Ana miaka 62 mpaka sasa
Umri wake ni bado saana kwa haya anayoyapitia...
Atakaa vizuri tu, nina imani kuwa hayo magonjwa yanatibika...Tumeshampeleka mkuu...!!hali bado
Naomba kujua ulimpeleka hospitali ganAtakaa vizuri tu, nina imani kuwa hayo magonjwa yanatibika...
Mimi mzee wangu alikuwa anasumbuliwa na miguu sana lakini alipata matibabu na sasa yuko vizuri.
AmenAcha kumlinganisha na watu wengine Hilo la Kwanza.
La pili mpeleke hosipital.
Mwisho kabisa pole sana na punguza kupanic mzee atakaa sawa na Mungu amponye upesi.
Itikia Aamina.
Kahama mkuu, hospitali ya GovernmentNaomba kujua ulimpeleka hospitali gan
Nimuwekee chini ya sendoz au??ach kwanza kumlinganisha na wengine kila mtu na mtindo wake wa maisha, kuhusu miguu ebu chukua vitunguu katakata mtindo wa duara alafu muwekee chini ya unyayo utanipa mrejesho haya mengine ngoja wengine waje
Anakusudia weka kwenye aidha sandals zake au viatu kisha avae, kwa kauli nyengine akanyage vitunguu.Nimuwekee chini ya sendoz au??
Mkuu miguu kuvimba atakuwa anayo maradhi kwenye figo lake halifanyi kazi vizuri nenda kampime figo lake je lipo sawa?na pia umpime UTI na njia ya mkojo ili tupate kujuwa sababu ya maradhi yake. Ukimtibia Hospitali hajapona nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mzee wako auguwe pole.Ana miaka 62 mpaka sasa,
Umri wake ni bado saana kwa haya anayoyapitia...
Nimuwekee chini ya sendoz au??
Sukari hana...!!kwenye suala la presha kuna dawa anatumia jina mpaka nilitafute kwakweli...nlimpeleka hosptal wakasema kuna vitu inabd awe anapunguza kula...hasa mafuta na chumvi...pia kwakuwa miguu inamuuma wamesema awe anakula saana bamia....jana amesema angalau miguu imepungua maumivu....Mungu anasaidiaMkuu mleta mada Mzee anatumia dawa za presha? Aina gan ya Dawa?
Je ulisha mpima sukari majibu yapoje?
Sawa mkuu.Aongeze ulaji wamboga za majani aepuke matunda yenye sukari nyingi ,aepuke kula wali kabisaaaaa na ugali wa sembe.Sukari hana...!!kwenye suala la presha kuna dawa anatumia jina mpaka nilitafute kwakweli...nlimpeleka hosptal wakasema kuna vitu inabd awe anapunguza kula...hasa mafuta na chumvi...pia kwakuwa miguu inamuuma wamesema awe anakula saana bamia....jana amesema angalau miguu imepungua maumivu....Mungu anasaidia