Msaada: Baba yangu ana tatizo la kutokwa na damu puani akiumwa mafua

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
340
271
Habari za wakati huu ndugu zangu namiini mko salama
Baba yangu mzazi ana tatizo ya kwamba akiumwa mafua basi damu huwa zinamtoka nyingi sana puani, hata sasa ninapoandika haya basi damu ndo mfululizo hebu niambieni jamani tatizo litakuwa ni nini na tunawezaje kumsaidia? ahsanteni
 
Back
Top Bottom