Msaada baada ya kusoma Community Health Certificate

Omary idd

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
65
Reaction score
13
jaman nataka kusoma community health ya certificate je nikimaliza naweza kuendelea kwa kozi IPI yeye maslahi makubwa na kipaumbele zaid nisaidieni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umechaguliwa kwanza... au ni promo tu..?
 
jaman nataka kusoma community health ya certificate je nikimaliza naweza kuendelea kwa kozi IPI yeye maslahi makubwa na kipaumbele zaid nisaidieni

Sent using Jamii Forums mobile app


Haipo ndugu yangu.Ni akili yako tu itakupa maslahi makubwa

Labda uende kwenye siasa au kama kuna kipaji unacho basi kitumie vema

Hivi unajua mshahara wa daktari haufiki hata milioni mbili kwa mwezi na huyo amesoma miaka mitano mzee sijui unanielewa

Soma tu ila usije pata stress ukiyakosa hayo maslahi manene mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…