Just update a new software ,dat is the solution !!nipo na jelly ben tecno h5 baada ya kuiroot nikaona nitoe system apps ambazo huwa sizitumii na nyingine nikaamua kuzibadilisha
nikatoa phone call ya system nikaweka treu caller
pia nikatoa system app ya sms nikaweka go sms
lakini kila nilipobandua system apps nilipata onyo hili
removing system apps may cause system instability and other problems
onyo hilo nikalichukulia kua ni mkwara wa developer tu
ili nisitoe za kwake na kuweka za ukweli
ila naona sm imeanza kua slow sana ukigusa app inachukua muda kufunguka sijajua nini cha kufanya kwa anaejua naomba solution ni nini
iflash mzeenipo na jelly ben tecno h5 baada ya kuiroot nikaona nitoe system apps ambazo huwa sizitumii na nyingine nikaamua kuzibadilisha
nikatoa phone call ya system nikaweka treu caller
pia nikatoa system app ya sms nikaweka go sms
lakini kila nilipobandua system apps nilipata onyo hili
removing system apps may cause system instability and other problems
onyo hilo nikalichukulia kua ni mkwara wa developer tu
ili nisitoe za kwake na kuweka za ukweli
ila naona sm imeanza kua slow sana ukigusa app inachukua muda kufunguka sijajua nini cha kufanya kwa anaejua naomba solution ni nini
Softaware inawekwa kwa njia ya computer nenda kww fundi sim atamaliza kila kitu ,,software gani mbaba
poa mbabaSoftaware inawekwa kwa njia ya computer nenda kww fundi sim atamaliza kila kitu ,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tumia lugha nzuri,you sound like tapeli!!Mm naziroot sana pia hata hiyo developers kuna namna naweza kuifunga pia. Hata ukitaka kubadilisha mfumo ifanane Na Samsung inawezekana

inawezekana cha msingi upate firmware sahihikwa kufanya hivyo inaweza kusaidia?