dendaboy
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,091
- 744
nipo na jelly ben tecno h5 baada ya kuiroot nikaona nitoe system apps ambazo huwa sizitumii na nyingine nikaamua kuzibadilisha
nikatoa phone call ya system nikaweka treu caller
pia nikatoa system app ya sms nikaweka go sms
lakini kila nilipobandua system apps nilipata onyo hili
removing system apps may cause system instability and other problems
onyo hilo nikalichukulia kua ni mkwara wa developer tu
ili nisitoe za kwake na kuweka za ukweli
ila naona sm imeanza kua slow sana ukigusa app inachukua muda kufunguka sijajua nini cha kufanya kwa anaejua naomba solution ni nini