Msaada, baada ya ku root simu imeleta shida

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,422
Reaction score
5,479
Wakuu simu yangu ya Huawei Y-530 niliifanyia rooting ila sasa imeanza kujizima yenyewe na nikiwasha haimalizi inaishia kwenye Logo ya Huawei.

Nimesha flash mara nyingi sana lakini tatizo linajirudia, msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20170827_105316.jpg
    IMG_20170827_105316.jpg
    23.3 KB · Views: 62
Wakuu simu yangu ya Huawei Y-530 niliifanyia rooting ila sasa imeanza kujizima yenyewe na nikiwasha haimalizi inaishia kwenye Logo ya Huawei.

Nimesha flash mara nyingi sana lakini tatizo linajirudia, msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa hii ni ngeni kwangu mimi nime root aina hiyo ya simu zaidi ya 60 hakuna simu iliyo fanya hivyo hilo tatizo lako dogo pia hapo unatakiwa uwe na SD card yaani memory kadi ya 2gb halafu download update file la hiyo kwenye google fanya hivyo kwanza nitakupa maelekezo baadae japokuwa kuna changamoto ya kujua ni version gani ya file siyo file zote zinakubali
 
mkuu na mm ninayo teckn w4 inandika upgrind app 1,63 aiendelei
 
Pia kuna tecno H5 nilitoa betri ili kuchange line nakuja kuwasha ikaawaka na ikaishia kwenye neno Tecno haiendelei nimepeleka waiflash imeshindikana je? njia nyingine ya kuweza kuiponyesha hii simu!?
 
njoo nikuflashie km uko dar..nichek pm
 
Pia kuna tecno H5 nilitoa betri ili kuchange line nakuja kuwasha ikaawaka na ikaishia kwenye neno Tecno haiendelei nimepeleka waiflash imeshindikana je? njia nyingine ya kuweza kuiponyesha hii simu!?
mmm mara nyingi solution ni ku flash vingineyo km unaipenda hiyo H5 nenda Tecno wakubadilishe circuit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom