Naomba msaada kwa anaejua kama ipo chanel kwenye Azam tv inayoonyesha UEFA leo nataka nicheki mechi ya chersea au bayan
Unapata shida ya nn nunu receiver inayoweza kuingiza bisskey iwe mpeg4 au hd na dish la fut6 kuna channel mbili zinaonyeshaga uefa bila chenga ndio naangaliaga
dish nimefunga leo sijajua ni chanel gani?
Sasa hizo recever zinauzwa sh ngapi? Kwasbb niko mikoani recever hazipo madukani
Chaneli ya NBS ndo itaonyesha uefa live,game ya Leo ni Chelsea vs PSG Azam TV rubudani kwa wote
Naomba msaada kwa anaejua kama ipo chanel kwenye Azam tv inayoonyesha UEFA leo nataka nicheki mechi ya chersea au bayan
As ante Kwa taarifa. Ulishawai kuangalia uefa kwenye Hii channel
Nimeangalia sana kuanzia mechi za playoff kati ya arsenal na besiktas...! Ila wanaonyesha big mechi kwa siku ya jumatano. Hapa nipo naisubiri mechi ya Chelsea kwa hamu sana. Enjoy mkuu
As ante Kwa taarifa. Ulishawai kuangalia uefa kwenye Hii channel
Mechi imeanza mkuu na mpaka sasa PSG inaongoza kwa ball possession