Msaada:azam tv

ntilavano

Senior Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
136
Reaction score
31
Wakuu natumaini mu wazima wa afya.

Lengo la kuja hapa ni msaada wa namna ya kupata chanel za Azam TV maana wananiambia "NO PROGRAMME" hata nikiserch hakuna channel wala radio nayopata.

Natanguliza shukurani.
 
Ukienda menu then kwny sea rch ,pale kwenye search signal inasoma ngap?
 
Ukienda menu then kwny sea rch ,pale kwenye search signal inasoma ngap?
Mkuu nikienda kwenye menu alafu search inakuja
Auto search
Tp list
Satellite list
Sasa bado sijakusoma hapo kwenye search signal.
 
Hapana maana kuna mda dish lili shake so nikajaribu kuliweka sawa lakini ndio yametokea hayo.
Nijibu jwa kuni Quote.
Hapo mtafute fundi aliyekarbu,mana ushalipoteza position .kwan upo wap
 
Msaada nahitaji mtu Wa kunifungia dish langu au maelekezo nilifunge mwenyewe . ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…