Unaponunua Receiver ya PayTV inayotumia SmartCard lazima uwapigie Azam TV wafanye "Marriage" ya Nagra motherboard ya decoder na hiyo Smartcard.Tumeama toka Zuku, tukaingia Azam Tv jana, sasa tumekutana na Hii message kwenye screen.
Inaonesha channel moja tu ile ya matangazo ya tv yao ambayo ata ukitoa card yenyewe inaendelea. Tatizo linaonekana lipo kwenye card, How to solve it?
Msaada wa kiufundi tafadhali
Unaponunua Receiver ya PayTV inayotumia SmartCard lazima uwapigie Azam TV wafanye "Marriage" ya Nagra motherboard ya decoder na hiyo Smartcard.
Hii automatically inakuzuia wewe kutumia Smartcard katika CAM ya receiver nyingine e.g Kutumia Smart card ya Azam katika Receiver ya FTA kama Ibox 3030 etc.
Hiyo ni kwa manufaa ya kuzuia Piracy Decryption(Kusambaza channel kwa card moja kwa watu wengine) maana wakiiacha Smartcard ni rahisi sana kuichukua hiyo Card na kuiweka katika Advanced Set Top boxes(STB) kama zile zinazo Run on Linux OS hivo kuweza ku transmit control without any effort...which can even be done by a kindergeten school student.
Hivo hiyo kitu ni muhimu kwa security ya Pay TV zote
Sorry kwa maelezo marefu[emoji2]
Fuata maelekezo hapo juu au wapigieWakuu Nina tatizo hili pia.
Naomba msaada