Abdul Bilal
Member
- Jul 29, 2017
- 88
- 15
Msaada waungwana
Azam tv app kila nikfungua inasema something went wrong.
Nn tatizo????
Azam tv app kila nikfungua inasema something went wrong.
Nn tatizo????
Hilo tatizo ni kwa wote nadhani maana nilikuwa nachek mpira live kupitia app yao ghafla ikaniandikia 'someting went wrong'Msaada waungwana
Azam tv app kila nikfungua inasema something went wrong.
Nn tatizo????
Noma sana,Hilo tatizo ni kwa wote nadhani maana nilikuwa nachek mpira live kupitia app yao ghafla ikaniandikia 'someting went wrong'
Hahahaha una utani na BakhresaThis is TZ. We take everything for granted