kama ni mpya chukua mkuu na kwa safari za mbali hakikisha unafanya service kabla ya kuondoka na kila baada ya km 300 pumzisha gari kwenye silencer kwa dkk kumi na tano ndio uendelee na safari na gari iwe na mzigo kidogo ili iwe na balance barabarani, waweza kusafiri umbali wowote ukifata masharti, coz mwaka juzi nilinunua toyota vitz South Africa nikaja nayo kwa njia ya barabara ilifika bila ya tabu yoyote