Msaada:AutoCAD 2009

ProBook

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
558
Reaction score
265
Wakuu naomba mtu anaweza akanisaidia kupata link ya kudownload hiyo program ya AutoCAD ya mwaka 2009 english version kwa ajili ya 64 bit kwenye windows 7, nimejaribu angalia naona kila mahali ipo ya 32 bit na 64 bits yakifaransa,
shukran in advance
 
ninayo ya 2008 pamoja na license yake. Km unadhani itafaa just pm me for more details.
 
Wakuu naomba mtu anaweza akanisaidia kupata link ya kudownload hiyo program ya AutoCAD ya mwaka 2009 english version kwa ajili ya 64 bit kwenye windows 7, nimejaribu angalia naona kila mahali ipo ya 32 bit na 64 bits yakifaransa,
shukran in advance

kama ni mwanafunzi iko free link hii hapa...Download Center ...unachotakiwa kufanya ni registration then watakutumia free serial number na product key kwa mail yako....pia hii ni autoCAD 2013 the latest better utumie hiyo kuliko hiyo ya 2009(if 2009 is not a must)
 
Asante sana bro
 
Wakuu, mimi natafuta AUTOCAD 2010. Nimeambiwa for beginners, ni bora wajifunzie hiyo badala ya kutumia updated versions

Msaada tafadhari!
 

Embu na mimi niishushe nifanye mazoez nsije nkasau hata ku"extrude"!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…