Habari wana Jamii forums
Naomba mnisaidie kwa yeyote anaefahamu asili ya haya majina ni ya asili ya kabila gani na wenyeji wa mkoa gani hapa kwetu Tanzania.
1.Mchaki
2.Msemwa
3.Malema
Na kama kuna maelezo mengine ya ziada yatakayonifanya nielewe zaidi nitashukuru sana, kwenu wadau naombeni msaada wenu.
Natanguliza shukrani zangu