Msaada arusha

Ukishuka stand chukua boda mwambie akupeleke makao mapya nauli ni sh 1000 kutoka stand kuu ya mabasi.Huko kuna guest house za bei nafuu..mfno kutetere lodge..monjes lodge..na nyinginezo nyingi ambazo zina bei nafuu na utaenjoy..
Kuhusu sehem za bata mwambie toyo kutokea hapo makao mapya akupeleke Picnic Bar ipo Kaloleni napo nauli ni buku ukifika huko kumbuka Condom
Karibu Arusha mengineyo ukitaka kama mambo ya Hashish ni PM
 
Shukran sana mkuu kwa muongozo . Nikikwama nitakuja tena hapa
 
Usisahau nguo za baridi, kipindi hiki kuna baridi kali sana huko.
 
Shivaz...ila usisubitu kichukia demu umekwisha....watakufuata nyuma hadi gest yako wakijifanya wanafumania aisee watakulamba hadi boxer...
 
Kwa jinsi hii ya kuendekeza uzinzi tutaendelea kweli. Nenda Arusha kafanye mambo ya kukuletea maendeleo na si wanawake. Uzinzi ni dhambi jitahidi kuachana nao. Nenda Arusha ukatafute fursa na si wanawake. Vijana wengi nilikuwa ninafanya kazi nao niliwaonya sana tunapokuwa kwenye safari za kikazi na wote mwisho wao ulikuja kuwa mbaya. Angalia na wewe ukiendekeza uzinzi mwisho wako ni mbaya.
 
Unalalaje room ya below 15? [emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…