msaada aptitude test tigo

msaada aptitude test tigo

umeomba nafasi gani?sio lazima wakupe hiyo test,jiamini utashinda.
 
naomba aina ya maswali kwa anayejua

Ni maswali ya kawaida hesabu, general knowledge na mambo ya costomer care.Please tutumie email ulitumia na sisi tudumbukize CV maana mara ya mwisho nafanya nao walikuwa wanatumia tigopeaple lakini nikiijaribu siipati
 
Huwa yanakuwa maswali 50 ambayo unapaswa kuyafanya kwa dk 12 tuu.Baada ya hapo ata mark kwa kalamu nyekundu ni wapi kila mtu ameishia halafu mtapewa unlimited time hadi mmalizie maswali ambayo hamjafanya.Maswali yenyewe ni general qns ila mostly hesabu plus mengine ya kitechnical zaidi.
 
Ni maswali ya kawaida hesabu, general knowledge na mambo ya costomer care.Please tutumie email ulitumia na sisi tudumbukize CV maana mara ya mwisho nafanya nao walikuwa wanatumia tigopeaple lakini nikiijaribu siipati
Search chek hapa kaka
 
uli2maje wangu na me nijaribu?na uliomba post gan?
Kama hufahamu hata namna ya kutuma, basi naweza guess kwamba u're new in the job search jungle!! Watu wa kundi hili, sio mbaya hata mkianzia kwa recruitment agencies wapuuzi kama Erolink na Infinity Communication. Try your luck there, unless if you're not in Dar es salaam, otherwise, you need to go there mwenyewe na sio kuomba e-mail; right? Infinity wapo Ursino Estate maarufu kwa JK, na Erolink unafuata barabara ambayo ni opposite na hiyo ya Ursino Estate.

Unaishi wapi? Kokote utakakotokea, itabidi uteremke kituo cha Morocco! Kama utatokea maeneo ya Mwenge, basi ukiteremka itakubidi urudi nyuma tena na kuchukua second turning to the Right(for Infinity) and to the Left(for Erolink). Kama utatokea Mjini, baada ya kuteremka itabidi uelekee mbele yako na kufuata maelezo hayo ya watu wa Mwenge!

Kama utatokea Magomeni, ukishateremka, fanya kama unataka kwenda Mwenge kisha chukua the First Turning to the Left(for Erolink) and Right (for Infinity). Need to say more?

Ukiachana na hao, you can also drop ur CV with NFT Consults.....hawa itabidi upande gari zinazoenda Kawe kisha teremka kwa Mwalimu Nyerere. Itakuwa vizuri kama utaenda na Sh. 15,000/= kwa ajili ya Screening Interview na kisha uingizwe kwenye CV Bank! It sounds weird, right? Hata hivyo, wala sio kwamba ni wezi! In fact, kama tutaangalia professionalism, NFT wapo kiprofesheni zaidi kuliko Infinity na Erolink!

You dream to work with Vodacom, drop ur CV to Erolink, if favorite is Zantel then Infinity is place for you! BUt kama unataka mambo ya KABAAAANG, panda gari kuelekea Kawe na kama uliyoyano YATOSHA, basi ur place ni kwa the most notorious recruitment agency alias Spanco! Hawa jamaa sijui kwa sasa wapo wapi....kama hawatakuwa pale pale Airtel House Morocco, basi watakuwa pale(nimesahau jina, but nikikumbuka nitarudi) barabara ya Nyerere....kituo cha kuteremka na Banda la Ngozi!
 
Ukikumbuka tuelekeze kwa hao KABANG na YATOSHA tupeleke CV zetu tufanye majaribio maana kupata kazi ni kazi
 
mdau hapo juu hyo NFT agency after kulipa hyo elf 15 kifuatacho nini? wanakata mshahara kama erolink?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom