Msaada Apps za iPod touch | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Apps za iPod touch

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Endangered, Jul 20, 2012.

 1. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu hali,

  nina iPod touch kwa muda, na ina some stuffs za mwenye nayo.
  Sina acc ya itune, as sina credit card, ambayo nashindwa ku-bypass wakati wa refistration.

  this device is 4.0.2, siwezi kudowngrade ili nii-jailbreak, picha ziliomo zitapotea.

  Point yangu, naweza pata msaada kwa mtu aliye na apps (games mostly) nikaxplore kwa mda, maana so far nachofaidi ni kuwatch movies before I get to sleep.

  alternatively, sijui kama inawezekana though, acc ya a registered person ni-download free apps, kwa sasa siwezi kudownload chochote mpaka registration, which sucks to me.

  Shukran!
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmh hiyo ngumu, unajua account ya mtu ya iTunes ina credit card. Sasa utatumiaje akounti ya mtu. jE ukidawload apps za dola 60, si msala? Mi nina apps nyingi tu, ningekuwa na namna ya kukupa ningefanya hivyo, ngoja niangalie nikupe kwa staili gani. Kwa nini usitumie card yako ya visa kununua apps?
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ninaweza kukutengenezea itunes ID ambayo haina credit card ila ndo kama hivo, utapata free stuff only. pia, nilijua 4.0.2 ni jailbreakable. kama hujajailbreak, hata nikikupa apps nilizonazo hazitakubali kuinstall
   
 4. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Head teacher nimekupata, teh teh teh. Baharu mbaya sina kakadi ka visa kwa sasa.

  Sasa mkuu leh, ukifanya mpango wa hiyo ID italuwa njema sana, si unakumbuka mi ni ndugu yako *(^_^)*. ninapata shida tu na hizi picha za watu, nitamchek jamaa nipate ridhaa ya kufuta kila kitu, then nipate walkthrough ya ku jailbreak.

  Gracias Amigo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  :biggrin: kabisa sie ndugu. nipe email address ya kutumia
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  maswali just incase uje upoteze password ya itunes yako kama hivi (nimekuPM password) na nimetumia email address yangu kama rescue address for emergency kama utasahau password
  [​IMG]

  kilichobaki ni uverify kama unavyo ona hapa
  [​IMG]

  incase upate shida.. dont hestitate kuniambia sisi ndugu :biggrin: (ole wako umkatae mdogo wangu sasa) :biggrin:
   
 7. leh

  leh JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  naona picha haionyeshi maswali vizuri
  Who was your favourite teacher (martin mark) meeeeee :biggrin: :biggrin:
  Who was your best chilhood friend? (leh) again me!! :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:
  Where were you in January 2000 (Arusha)

  regards.. leh [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. e

  emkey JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Leh, habari yako? mi nina ipod classic 80gb, kwa bahati mbaya niliiformat, zikafutika nymbo na video zote, kwa sasa haina prgme yoyote na cwezi ku2mia kwa kuckiliza music, imekuwa kama flash, utanisaidiaje ili ifanye kazi kama zamani? kama vipi nipe namba yako ya cmu ili 2ongee Vzuri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. leh

  leh JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  pole kwa kupoteza file zako emkey. kwa kutumia itunes, utaweza kuweka miziki tena. nafikiri niliona post yako juzi na nikacomment. anyway, cha kwanza ni kuinstall itunes
  tumia hii link Apple - iTunes - Download iTunes Now
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. e

  emkey JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nilijaribu kuweka itunes 10.6 version lakini imekataa kuchukua miziki, cjui version gani ha itunes itakuwa the best katika ipod classic?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  incase upate shida.. dont hestitate kuniambia sisi ndugu :biggrin: (ole wako umkatae mdogo wangu sasa) :biggrin:

  :whoo: teh teh, naona sasa hizi ni baraka tupu, dabo dabo .[​IMG]

  Yaani nilivykuwa nina haraka huku hata sikupita, ndo naona maelezo saivi, baada ya Taa-nes-koo kujiheshimu.
  Sasa ntakustua mida mida leh
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu leh, nanona ni excitement ndo ilinizuia kuingia, maana ni kama nilikuwa sioni maelekezo vizuri (concetration), was just busy typing and doing multiple clicks, sasa nimeingia (huhu hahahahahah)

  ntakustua mambo yanavyokwenda
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Sisomeki

  Sisomeki Senior Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sasa kama unayo kwa muda kwanini unahangaika nayo? kama unataka kuweka software au kitu chochote mwambie mwenye nayo lazima atakuwa na itune acc, otherwise ni way out update, jailbreak and get ur own itune
   
Loading...