swaki la jiti Member Joined Oct 6, 2017 Posts 97 Reaction score 60 Oct 13, 2017 #1 Heshima yenu wakuu.mwenye kufahamu applications zinazofuta virus ktk simu naomba anifahamishe.natanguliza shukrani
Heshima yenu wakuu.mwenye kufahamu applications zinazofuta virus ktk simu naomba anifahamishe.natanguliza shukrani
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Oct 13, 2017 #2 Mkuu ina maana hiyo simu ilikuwa haitumii kondom?
swaki la jiti Member Joined Oct 6, 2017 Posts 97 Reaction score 60 Oct 13, 2017 Thread starter #3 Perfectz said: Mkuu ina maana hiyo simu ilikuwa haitumii kondom? Click to expand... Mkuu unazingua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Perfectz said: Mkuu ina maana hiyo simu ilikuwa haitumii kondom? Click to expand... Mkuu unazingua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Oct 13, 2017 #4 swaki la jiti said: Mkuu unazingua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Click to expand... Mkuu hebu ijaribu SMADAV au ukishindwa fanya factory reset.Hizo AV za simu mara nying ni chenga tupu
swaki la jiti said: Mkuu unazingua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Click to expand... Mkuu hebu ijaribu SMADAV au ukishindwa fanya factory reset.Hizo AV za simu mara nying ni chenga tupu
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Oct 13, 2017 #5 Sasa mkuu hata os ya simu hujasema kwaio itakua ngumu kusaidiwa
swaki la jiti Member Joined Oct 6, 2017 Posts 97 Reaction score 60 Oct 31, 2017 Thread starter #6 Perfectz said: Mkuu hebu ijaribu SMADAV au ukishindwa fanya factory reset.Hizo AV za simu mara nying ni chenga tupu Click to expand... Mkuu asante kwa ushauri wako.muda mrefu sikuingia jf.comment yako ndo nimeiona leo
Perfectz said: Mkuu hebu ijaribu SMADAV au ukishindwa fanya factory reset.Hizo AV za simu mara nying ni chenga tupu Click to expand... Mkuu asante kwa ushauri wako.muda mrefu sikuingia jf.comment yako ndo nimeiona leo
ashomile JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,937 Reaction score 3,054 Nov 1, 2017 #7 Perfectz said: Mkuu ina maana hiyo simu ilikuwa haitumii kondom? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Perfectz said: Mkuu ina maana hiyo simu ilikuwa haitumii kondom? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,206 Reaction score 10,158 Nov 1, 2017 #8 swaki la jiti said: Heshima yenu wakuu.mwenye kufahamu applications zinazofuta virus ktk simu naomba anifahamishe.natanguliza shukrani Click to expand... Hakuna anti-virus ya simu iliyo 100% perfect, dawa ya virus kuwaondoa kabisa kwa uhakika ni kupiga/Flash ROM mpya tu, hayo mengine ni kujaza apps zisizokua na maana na kudrain bettery bure....
swaki la jiti said: Heshima yenu wakuu.mwenye kufahamu applications zinazofuta virus ktk simu naomba anifahamishe.natanguliza shukrani Click to expand... Hakuna anti-virus ya simu iliyo 100% perfect, dawa ya virus kuwaondoa kabisa kwa uhakika ni kupiga/Flash ROM mpya tu, hayo mengine ni kujaza apps zisizokua na maana na kudrain bettery bure....