structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 909
For the first case mkubwa, hapo kuna ngoma nzito. Manake sio software tu, solution ya hiyo inahitaji combination na biometric devices ili kusense mfano foreign hands.
The second case, experiment na Avast Anti Theft, nahisi itabidi uinstall avast mobile security kwanza.
kwanza wezi siku hizi wanakaba so haita saidia
pili location aki fomati simu mchezo umekwisha
Hiyo first case kwa sasa sjaona solution bado.
Ingia play store search avast Anti Theft. Je, simu yako ni rooted?
Tuache kwanza hiyo sehemu ya rooted, tutairudia baadae. Kwa sasa download hiyo app ya avast, ukimaliza kuijaribisha ndipo ntakapokuelekeza jinsi ya kuifanya isifutike hata kwa kuformat.
Ndugu mi ninayo inaitwa Netquin security katika blackberry ni komesha,pia ni anti-virus,ina options 3,ikiibiwa unataka ikulocate ilipo kupitia google map,unataka ipige kelele tu! Au unataka ikusms. Kupitia laini aliyoweka mwizi.
BURTON JORDE
mfano kama pin yako ni 2014, andika message 2014 LOCK kwenda namba yako ya simu.
Hiyo first option uliyoona kwenye advanced system settings ni vitu ambavyo app itafanya pale ambapo mtu atakapoingiza foreign line kwenye simu (ita assume kwamba imeibiwa) au pale ambapo utaimark device kwamba imepotea kwa kutuma SMS command. Friends phone number ni namba ambazo zitatumiwa message pale vitu nlvotaja hapo juu vitakapotokea. Kwa mfano, ukitaka kuona inavyofany kazi, chukua simu ya mtu, andika message inayoanza avast pin uliyoiset ikifuatiwa na neno LOCK afu tuma kwenda namba yako ya simu. Command nyingine ni kama LOCATE, SIREN ON n.k
Fungua help kwa command zaidi na jaribu jaribu ufanyaji kazi wake.